Sio lazima ulazimishwe,ni hiari yako kuchangia damu kwa wale ambao wanahitaji.Jana ilikuwa siku maalumu ya kuchangia damu duniani na timu ya Clouds Fm ilitinga kujitolea kutoa damu.
Pichani Antonio Nugaz,Sophia Kessy,Brand Manager wangu na Mimi baada ya kumaliza zoezi lililotupeleka viwanja va Karume.
Malkia Sophia mwana wa Kessy akiwa anajistukia flani hivi baada ya kumaliza kutoa damu.
XXL,From left ni Ncha Kali,Shadeiya,Fetty na Dozen wakishow some love baada ya kumaliza zoezi
Kazi ya kutoa damu sio mchezo,baada ya zoezi la kutoa damu tulienda moja kwa moja mpaka kunako Hugo pale Kinondoni na kuanza kutengezeza shavu kidogo
Related posts:
