
Inaonekana kama kabadilika kutoka staili moja kwenda nyingine,Ni Lil Mama ambaye hupenda kuvalia vivazi vya kiume zaidi lakini hapa kwenye Red Carpet ya tuzo za Do Something,alionekana amevalia kivazi cha kike kama unavyomuona pichani.
Related posts:

"Negema wangu binti"