Huyu si mwingine bali ni Langa,msanii aliyejulikana kupitia kundi la Wakilisha na alitamba sana lakini jinA la Langa sasa hivi limeonekana kufifia midomoni kwa wanaHiphop na wapenzi wake,Je yuko wapi?
Rado nae baada ya ‘Usiulize’ ikawaje?Tetesi ni kwamba alikuwa ana pursue kitu flani ndnai ya IFM then baada ya hapo sina habari zake,kwa aliyekuwa na habari juu ya Rado,tuwekee basi halafu tuoneee!
Kala Jeremiah,kipaji kilichofukuliwa kutoka mashindano ya kumtafuta staa wa Bongo,Bongo Star SearchYuko wapi na huyu?
Related posts:

walikuja kwa pupa,sasa wanakula maunga.hawana jipya