Angalia Bongo

Sehemu ya Kuwepo!

Archive for June, 2009


Ni Quick Rocka,Hiki ndicho kichwa kingine kinachosumbua kwenye redio na track yake ya ‘Bullet’
Ni bwana mdogo tu ambaye bado yupo shule huku akifanya vyema kwenye game..Yupo ndani ya kundi la ‘Rockaz’ ambalo limetamba sana na track ‘Rockaz Anthem’…
Anavyoflow unaweza kusema kama Twista wa Bongo cauze he sounds just like him Man…
Quick anadai Twista ndio nambma moja wake na hapa nchini Ngwear ndo role Model wake.Je wewe unavutiwa na nani?

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo

  • Grooveback-nite presents’Back to the 80s’-something special for you that you are not suppose to MISS….. with Dj Peter Moe/Rankim and Kelvin…Come all!o

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Eti hapa Beyonce kachemka?!


    Alipaform kwenye tuzo za BET akiwa amevalia kivazi hicho.Wadau wanahoji imekuaje avae nguo ya harusi kwenye show?Kwa mujibu wako unaona ni kweli amechemka kuvalia kivazi hicho ingawa na kuwa mwanadada huyu anajua sana kwenda na wakati kwenye suala la nguo?weka maoni…someone says Beyonce always tries to be over the top,is it true?

  • 2 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo

  • Hayo ndio maneno ya 5O Cents alivyohojiwa kuhusu anavyojisikia kutokana na Kifo cha King Of Pop,MJ.
    “I think everybody was [affected by his death],” Fif explained. “Ain’t nobody bigger than Mike. 700 million copies? You do that much, not even that, get away from the actual record sales and look at how long. Some people are made for it, so when you come on and you’re a star artist and a hit artist at the same time at five [years old],god d*mn. You got kids out there that are great on the Disney Channel, they ain’t got major hit records at that point in this time frame and I guess the dynamics of how we accept entertainment at this point is different too. So it changed things but Mike and them, it’s not something that’s common or we’d have another one. We don’t have another one.”

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo

  • Janet Jackson ambaye ni dada wa marehemu MJ,azungumza kwa niaba ya familia na kusema kifo hicho cha kaka yao kimewagusa na daima watamkumbuka MJ.
    “To you, Michael is an icon,” Janet said. “To us, Michael is family. He will forever live in all of hearts.
    “On behalf of my family and myself, thank you for all of your love, thank you for all of your support. We miss him so much. Thank you so much.”Janet Jackson…

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • RIP King Of Pop,The Wacko Jacko.


    Kifo cha mfalme wa muziki wa Pop duniani,Michael Jackson kimepokelwa kwa majonzi kwa kila mpenzi wa muziki duniani..

    Ni kati ya wanamuziki ambao wameweza kujenga majina yao duniani na kuwez akukubalika,kwa kifupi Michael Jackson alikuwa na nyota ya kipekee kwenye medani ya muziki.
    Apart from that alikuwa amejiandaa kwa ajili ya kurudi tena kwenye gemu na tour yake ya kwanza ilitakiwa kuanza huko nchini Uingereza tarehe 13 mwezi ujao.

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • TID matatizoni tena!


    Baada ya kutoka jela takriban miezi 6 iliyopita,msanii Khaleed Mohamed (TID) huenda akarejea tena gerezani…baada ya kurudia kosa kama lile lililomfunga mwanzo.
    Kwa mujibu wa gazeti moja litokalo mara moja kwa wiki,TID alitoa mkong’oto huo mwishoni mwa wiki iliyopita (Ijumaa) usiku ndani ya Klabu ya Thai Village, iliyopo Masaki.
    Habari hizo zinalonga kuwa, katika kitwango hicho, pia mwanamuziki huyo alizusha vurugu kubwa kwa kushika glasi za ‘ulabu’ na kuwamwagia wateja waliokuwa katika jitihada za kuamulia timbwili hilo.
    “Wakati tukimwamulia TID alitumwagia bia huku akidai kuwa, kama ni Segerea ameshazoea, hakuna wa kumtisha,” kilidonoa chanzo hicho.
    Kilisema kuwa, kipigo alichotoa mwanamuziki huyo kwa Naima ambaye ni mwanafunzi wa shule moja jijini Dar kilikuwa kikubwa kwani kilisababisha denti huyo atokwe na damu nyingi kichwani na puani.
    Pia, ilidokezwa kuwa, mara baada ya kutoa kipigo hicho, msanii huyo aliingia mitini.
    Ikaripotiwa kuwa, baada ya kuhisi ‘kimuhemuhe’ cha kipigo, Naima alishika njia hadi Kituo cha Polisi cha Oysterbay na kumfungulia kesi mwanamuziki huyo kwa namba ya faili RB/OB/10645/09 akidaiwa kufanya Shambulio lenye kudhuru mwili.
    Aidha, habari zaidi zinadai kuwa, mama mzazi wa mwanamuziki huyo baada ya kupata ‘niuzi’ za mwanae kuachia ‘kitwango’ kwa mtu, tena demu na ‘vijana wa Mwema’ wanamsaka hadi chini ya kitanda aliangua kilio.
    Wadaku wanadai kwamba, kilichomfanya mama TID aangue kilio ni baada ya kukumbuka kuwa, kijana wake huyo alishatumikia kifungo cha mwaka mmoja kwa kosa kama hilo na aliachiwa huru kupitia ‘samahani’ ya Rais JK lakini akiwa ameshalala na kuamkia jela kwa miezi sita.
    SOURCE:DHW

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • usini treat kama daladala


    maunda zoro kutoka familia ya vipaji,amedondosha jiwe jipya linalokwenda kwa jina la daladala ambapo ameongelea moyo wake kuhusu mapenzi,humo ndani anasema usiufanye moyo wake kama daladala yani unapanda na kushuka,mama anataka mtu wa ukweli wa kufurahi nae maisha na si kuchezeana kama ilivyo kwa vijana wa kisasa

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • muite rais wa manzese


    kama kawa jamaa kila ujio unakua gumzo kitaani,si mwingine ni madee aka rais wa manzese kama anavyojulikana ameporomosha song jipya linalokwenda kwa jina la pesa,umo ndani amezungumza ukweli wa mambo ambayo yanoyotokea katika maisha ya wasanii wa bongo pamoja na watu wa karibu,umo ndani amewachana live tundaman na matonya kuwa wamechuniana kisa mkwanja,pia tid alikfungwa kisa mkwanja ata dem wake aliitupa pete yao ya ndoa kisa mkwanja ,kweli madee mkali,kaza buti kaka

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Nairobians will remember the lap-dancer who sent temperatures rising when Nyota Ndogo performed at the Generation Jipange concert in December 2008.
    Zawadi, as she is known, has recorded her first single and released it. The song titled “Nalia” is already being played by radio stations in Mombasa. The dancer told DRUM that she was putting her other talents to test.
    “I know many people appreciated me as a dancer but I can also sing and I will be putting the two together,” she said

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • About Angalia Bongo

    Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...I would apreciate İf you can call me SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with my desicions, without forgeting İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian.Love friends and believe to DİE with something as İ was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me. Thanks for passing by xoxox..... Read More

    Have Your Say

    How Is our Website?

    View Results

    Loading ... Loading ...

    GrooveBack



    Disco bora na la kijanja nchini, pekee linalowahusisha waliokuwapo, waliopo na wanaotaka kujua kilichotokea