About Angalia Bongo
Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with what is on my mind..İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian... Love friends and believe to DİE with something as was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me.Anyting contact;angaliabongo@yahoo.com Thanks for passing by xoxox..... Read More
Sikiliza BongoFlava
Blogroll
- Africa Bambataa
- Afrojam
- Anh Vu
- Blazing Zone
- Bongo Celebrity
- Bongo Star Link
- Candy World
- Changamoto
- Dee
- Dina Marios
- Fashion Junkii
- Jamii Forums
- Jiachie
- John Kitime
- Karibu Nyasa
- Kisima Cha Fikra
- Kulikoni Ughaibuni
- Ladies Stuff
- Loveness Luv
- Maisha na Mafanikio
- Matukio UK
- Mtaa Kwa Mtaa
- Sauti za Bongo
- Shamim
- Sheria na Mavazi
- Simon
- Subi
- Swagga Bovu
- Total Knockout
- U-TURN
- Viva Afrika
Archive for May, 2009
-
Ngasa ajipatia jiko.
Posted on May 2, 2009 | No CommentsKiungo tegemezi cha timu ya Yanga, Mrisho Ngassa hapo jana alitoka rasmi kwenye chama cha mabachela kwa namba hiyo kiuongo huyu amefunga ndoa Latifah Abdulhaman. Ngassa alikuwa nchini Uingereza kufanya majaribio ya kuchezea timu ya West Ham. Habari zinapasha kwamba sehemu ya kwanza ya majaribio... -
Nas,Kellis kuachana?!
Posted on May 2, 2009 | No CommentsMwanamuziki Kellis ambaye aliwahi kutamba na wimbo ‘Bossy’ adaiwa kutaka talaka kutoka kwa mumewe ambaye pia ni rapa maarufu duniani Nas Escober.Ingawa Kellis ana mimba ya miezi saba lakini adaiwa kukerwa na mume wake huyo ambaye yeye anaona mapenzi yameisha hivyo ni heri watalikiane. -
Mrisho Mpoto nae kukamua Tuzo za Wanafunzi Tz
Posted on May 2, 2009 | No CommentsMwanamashairi,Mrisho Mpoto nae anatarajia kutumbuiza kwenye sherehe za kutoa tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri’Tuzo za Elimu Tz’Mbali na Mrisho wasanii wengine wanaotarajia kutumbuiza siku hiyo ni pamoja na Makamua,QJ,Prof Jay pamoja na kundi zima la Bongo Dsaalam
