Archive for May, 2009

  • Kila mtu anachunga mali yake!

    Kila mtu anachunga mali yake!

    Umeiona hii?wizi umekithiri jamani mpaka mtu anaona ni heri alinde mali yake na kufuli ili mjanja asikimbie nazo!

    Full Story

  • Rick Ross apiga vitu feki!

    Rick Ross apiga vitu feki!

    Jamani nimeitoa kwenye moja ya mtandao maarufu kuwa mtu mzima Rick Ross alitinga miwani feki kwenye gazeti la XXL issue ya May naaa wakubwa wa LV waliamua kuandika barua kwa editor wa XXL kuhusiana na jambo hiloooo…HEBU cheki hiyoDear Editor:We were dismayed to see the...

    Full Story

  • Miss Kigamboni,Ukonga kuwa Talk Of The Town mwaka huu!

    Miss Kigamboni,Ukonga kuwa Talk Of The Town mwaka huu!

    Hawa ndiyo wanakamati wa maandalizi ya mashindano hayo kutoka Kampuni ya Bongo5 ambayo ndiyo itaandaa mashindano ya urembo katika vitongoji vya Ukonga na Kigamboni leo imefanya mkutano na waandishim wa habari katika Mgahawa wa Hadees Fast Food jijini Dar na kutangaza tarehe ambazo mashindano hayo...

    Full Story

  • Allain Mulumba wa Diamond Sound

    Allain Mulumba wa Diamond Sound

    Unakumbuka enzi za ‘Kizaizai Silent In?,Allain Mulumba ndiye alikuwa dogo kuliko wote ndani ya bendi ya Diamond Sound,Wana wa Kibinda Nkoi…Mulumba alitamba sana miaka hiyo.

    Full Story

  • B-Band siwezi kuikacha kamwe-Banana

    B-Band siwezi kuikacha kamwe-Banana

    Banana atoa tamko rasmi kuwa hawezi kuiacha B-Band daima baada ya maneno kuzagaa mtaani kwamba anaanzisha bendi nyingine.“Siwezi kuondoka B-Band,nina mpango wa kuanzisha bndi nyingine ambayo wasanii watakuwa wanaikodi

    Full Story

  • Alikiba akisababisha ndani ya Denmark

    Alikiba akisababisha ndani ya Denmark

    Ali Kiba anaendeleza shangwe kwenye nchi mbalimbali za huko barani Ulaya na hapa alikuwa ndnai ya Denmark akifanya makamuzi Watu walishangweka mwanzo mwisho kwa mujibu wa mdau Hassan Ngazo aliyeweza kusababisha show hiyo ya Ally Kiba

    Full Story

  • Miss UE hiyooo!

    Miss UE hiyooo!

    Huu ndio msimu wa Mamiss na kama unavyoona safari hii wanamuziki kama Bushoke,MB Dog,pamoja na Berry Black watapamba usiku huo

    Full Story

  • Kivazi cha Rihana hapa vipi?

    Kivazi cha Rihana hapa vipi?

    Kivazi cha Rihana (Dolce & Gabanna).Vipi imekaaje kaaje hii?

    Full Story

  • Q-Chief awatolea uvivu wabaya wake

    Q-Chief awatolea uvivu wabaya wake

    Baaada ya kusimangwa kila kona kwamba kaolewa na mwanamke aliyemzidi umri wa miaka kumi mbele,Q-Chief awatolea uvivu watu wote wanaomfuatilia maisha yake na kusema yeye hajali hilo kwakuwa mapenzi hayachagui na ana uhuru wa kupenda mwanamke kutoka taifa lolote alitakalo.“Sijazuiwa kupenda mtu hivyo nina uhuru...

    Full Story

  • Rose Mhando apata tuzo nchini Kenya

    Rose Mhando apata tuzo nchini Kenya

    Gospel singer Rose Muhando receives her award for Artist/Group of the Year -Tanzania at the Groove Awards on last Saturday at the Kenyatta International Conference Centre.In our country nakumbuka alipata tuzo ya mwanamuziki wa Gospel miaka miwili iliyopita.Anstahili pongezi kwakuwa ameonekana kukubalika hata nje ya...

    Full Story