DR.Mwakyembe apata ahueni na kusema……


mbunge wa kyela mheshimiwa H.Mwakyembe hatimaye apata nafuu baada ya kupata ajali maeneo ya iringa akiwa na gari lake binafsi,mwakyembe alisema ajali hiyo ilisababishwa na shimo dogo lililopo barabarani ambapo kimuonekano ni dhahiri haliwezi kusababisha ajali mbaya kiasi kile,mheshimiwa alisema ni mbinu tu za wapinzani kutaka kummaliza lakini kwa rekhma za mnyaaz mungu leo yu hai,hivi kweli imani za kishirikina zinaaminiwa hata na wasomi?wadau nipeni jibu

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Wanasiasa!
  2. Mwaka wa Wema huu!
  3. Inni Edo apata mwenza!
  4. Rose Mhando apata tuzo nchini Kenya
  5. hili ndio shimo lenyewe jamani,

About the Author