producer na mmiliki wa studio za bongo records zilizopo mitaa ya bamaga sinza,alipatwa na shutuma za kuwamwaga wasanii wake vinara ambao ni juma nature na ferooz siku ya uzinduzi wa albuma zao pale diamond jubilee ambapo nature alizindua tugawane umaskini na ferooz akizindua sauti na vyombo,katika hali isiyotarajiwa majani hakutokea ukumbini na ivyo kupelekea watu kushtuka na kuanza kuhoji kulikoni majani awatose vinara wake hao wa bongo records?lakini hadi tunaondoa camera yetu katika eneo la tukio ilisemekana p funk alikua bussy na bongo star search kwani yeye ni kama jaji katika usahili huo wa kusaka vipaji
Related posts:


ni kweli jamaa ni jaji wa bongo star search kwa mwaka huu wa 2009 so inawezekana kuwa alikua bussy na shughuli hiyo wakati wasanii hao wanazindua album zao