Baba Levo nje ya TMK Halisi..


Ikiwa ni siku kama tatu baada ya wanaume halisi kupata kipigo bagamoyo mmoja wa wanaounda kundi hilo BABA LEVO aamua kujitoa.leo hii atakua na kikao kujua kama kuna sababu za msingi za nature kutokufika kwenye show mpaka kuambulia kipigo kutoka kwa wananchi na kama atakua hana sababu za msingi basi ATAJITOA KUNDINI.
jumamosi iliyopita, kundi la TMK Family likiongozwa na Juma Nature walikua na show bagamoyo ndani ya ukumbi wa sadani. kama kawaida ya halisi muongoza kundi (NATURE) hakutokea na baada ya wananchi kuona hivyo waliokua stejini walipewa kipigo nusu kudedi.sababu ya nature kutokutokea inasemekana ni kwasababu aliambiwa kafanya video mbaya,video yake ile ya Mikiki mikiki ndio maana kamaindi.

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Shutuma za Juma Nature
  2. babu nje ya tmk wanaume halisi
  3. Fujo kubwa huko Bagamoyo iliyosababishwa na JNature.
  4. Baba Levo na Rich 1 pamoja
  5. Maisha halisi ya mwalimu akiwa shule…

About the Author