About Angalia Bongo
Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with what is on my mind..İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian... Love friends and believe to DİE with something as was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me.Anyting contact;angaliabongo@yahoo.com Thanks for passing by xoxox..... Read More
Sikiliza BongoFlava
Blogroll
- Africa Bambataa
- Afrojam
- Anh Vu
- Blazing Zone
- Bongo Celebrity
- Bongo Star Link
- Candy World
- Changamoto
- Dee
- Dina Marios
- Fashion Junkii
- Jamii Forums
- Jiachie
- John Kitime
- Karibu Nyasa
- Kisima Cha Fikra
- Kulikoni Ughaibuni
- Ladies Stuff
- Loveness Luv
- Maisha na Mafanikio
- Matukio UK
- Mtaa Kwa Mtaa
- Sauti za Bongo
- Shamim
- Sheria na Mavazi
- Simon
- Subi
- Swagga Bovu
- Total Knockout
- U-TURN
- Viva Afrika
Archive for May 19th, 2009
-
Ally Rehmtullah’s DELECTABLES!
Posted on May 19, 2009 | No CommentsHakikisha hukosi show hii ya young designer Ally Rehmtullah on the 23rd of this month.. -
Real Love for J Dupri na Janet Jackson
Posted on May 19, 2009 | 1 CommentIngawa hawajafunga ndoa lakini inaonekana kama JDupri na J.Jackson kuachana itakuwa vigumu sana.Pichani JDupri akiwa amejichora Tatuu yenye sura ya Janet Jackson kwenye ubavu wakeVilevile inasemekana kwamba J.Jackson ana ujauzito wa JDupri ingawa haijatangazwa rasmi.Hata hivyo ni vizuri kwa J.Dupri kuonesha penzi lake la dhati... -
Msanii wa Akon,Dolla apigwa risasi.
Posted on May 19, 2009 | No CommentsAkon’s Konvict Musik artist Dolla was shot and killed in broad daylight at the Beverly Center shopping mall in LA today. Sources on the ground in LA exclusively tell Bossip that the Atlanta rapper and former Sean Jean model was shot in the head over... -
Baba Levo nje ya TMK Halisi..
Posted on May 19, 2009 | No CommentsIkiwa ni siku kama tatu baada ya wanaume halisi kupata kipigo bagamoyo mmoja wa wanaounda kundi hilo BABA LEVO aamua kujitoa.leo hii atakua na kikao kujua kama kuna sababu za msingi za nature kutokufika kwenye show mpaka kuambulia kipigo kutoka kwa wananchi na kama atakua... -
Cpwaa all the Best,Go On…
Posted on May 19, 2009 | No CommentsAnasema yeye anafanya advance bongo flava na hivi navyokwambia,Cpwaa aka C to The Pwaa yupo studio kutengeneza crunk ya ukweli anayomshirikisha mwanamuziki mwenye uraia wa Germany..Kwa mujibu wa Cpwaa anadai the song will be ready on air so so soon,so Crunk fans wakae tayari kwa... -
Fujo kubwa huko Bagamoyo iliyosababishwa na JNature.
Posted on May 19, 2009 | No CommentsJumamosi iliyopita, kundi la TMK Family likiongozwa na Juma Nature lilipata show Maeneo ya Bagamoyo kwenye ukumbi unaojulikana kwa jina la Sadani. Mda wa show ulipofika wanaume wakaingia jukwaani lakini cha ajabu Nature hakutokea kwenye steji ikasababisha wenzake wafanyiwe fujo na wananchi nusu wafe.Kisa cha...
