Nas,Kellis kuachana?!


Mwanamuziki Kellis ambaye aliwahi kutamba na wimbo ‘Bossy’ adaiwa kutaka talaka kutoka kwa mumewe ambaye pia ni rapa maarufu duniani Nas Escober.Ingawa Kellis ana mimba ya miezi saba lakini adaiwa kukerwa na mume wake huyo ambaye yeye anaona mapenzi yameisha hivyo ni heri watalikiane.

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Nimetokea Bush-Mr Nice
  2. Sina ujauzito wala uhusiano na Marlaw
  3. Teenage Love Affair Goes bad.
  4. Floyd Mayweather ashangaa wivu wa baba yake…
  5. So Sad Aisee..Baba Amuua Mwanae.

About the Author