Hii ndiyo hali halisi ya leo

Mabomu yalipuka huko mbagala kizuiani kwenye kambi ya jeshi
Watu watatu wafariki dunia na majeruhi kibao wakimbizwa hospitali ya temeke.

Watu mbalimbali wafurika hospitalini kuona ndugu zao

Sina la kusema wadau.Hali ilisikitisha sana..Kama unavyoona vipande vya mabomu

Hiyo ndiyo hali halisi.Chanzo kinasema mabomu yalipata joto sana iliyopelekea kulipuka.

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Hali halisi ndiyo hii…
  2. Hii ndiyo foleni ya Ubungo…
  3. Hiyo ndiyo Bongo Daresalama!!
  4. Hali hii Itaendelea mpaka lini nchini?
  5. Kama kazi ndiyo hii…

About the Author