Kazi Tayari-De Plaizir


Muite King of Plaisure,De Plaizir alonga na angaliabongo na kusema kwamba kazi zilizomleta nchini za kutengeneza video za nyimbo zake tatu zimeshakamilika na soon zitaanza kurushwa kwenye vituo mbalimbali vya TV.
“Nimeshafanya shooting ya nyimbo zangu nilizorekodi hapa nchini last year za ‘Swali’, ‘Kende Kaka’ na Game Over’ so soon watu wataanza kuziona” De Plaizir.
Mbali na kumalizia mzigo huo vilevile mwanamuziki huyu anatarajia kuingia studio za Nice P hapo kesho ili kurekodi nyimbo mpya atakayofany na Jose Mara mtoto wa Kimara pamoja pamoja na Barnabas wa THT.

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. De Plaizir ndani ya Bongo!
  2. De Plaizir atua Bongo
  3. Amani,De Plaizir na Jose Mara!
  4. De Plaizir na Lady Jay D wafanya mambo!
  5. De Plaizir kurudi Tz

About the Author