Kamakawa Records soon kufunguliwa

Pichani G-Sollo na mtoto wake Oprah

Mmiliki wa studio za Kama Kawa,Gerald aka G-Sollo aweka wazi kuhusiana na ufunguzi wa studio hizo zilizokuwa zimefungwa kwa takribani miezi miwili na kusema kwmaba studio inafunguliwa hivi karibuni.
“Studio haijafa,tulikuwa kwenye marekebisho na mapumziko lakini tunafungua soon na imehamishiwa sehemu ingine ambayo nitatoa taarifa hapo badae kidogo”G-Sollo..
Kumbuka studio hii ni moja kati ya studio inayotengeneza nyimbo zinazotokewa kupenda kama ‘Kila Wakati’ ya Joh Makini na ‘Speed 120′ ya Ngwear

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. KamaKawa Records Likizoni..
  2. Kamakawa wamekuja na Nguo
  3. Aliyempiga Mzee Mwinyi amekiona!
  4. p wa majani akanusha kukana vichwa vya bongo records
  5. m chali amaliza mkataba na mj records

About the Author