About Angalia Bongo
Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with what is on my mind..İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian... Love friends and believe to DİE with something as was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me.Anyting contact;angaliabongo@yahoo.com Thanks for passing by xoxox..... Read More
Sikiliza BongoFlava
Blogroll
- Africa Bambataa
- Afrojam
- Anh Vu
- Blazing Zone
- Bongo Celebrity
- Bongo Star Link
- Candy World
- Changamoto
- Dee
- Dina Marios
- Fashion Junkii
- Jamii Forums
- Jiachie
- John Kitime
- Karibu Nyasa
- Kisima Cha Fikra
- Kulikoni Ughaibuni
- Ladies Stuff
- Loveness Luv
- Maisha na Mafanikio
- Matukio UK
- Mtaa Kwa Mtaa
- Sauti za Bongo
- Shamim
- Sheria na Mavazi
- Simon
- Subi
- Swagga Bovu
- Total Knockout
- U-TURN
- Viva Afrika
Archive for March, 2009
-
Happy Mothers Day
Posted on March 22, 2009 | No CommentsM is for the million things she gives her kid. O means only that she’s soft to hold. T for the things she tries to teach her kid. H is for her heart of purest gold. E for her eyes with love light shining. R... -
Eti Madungu Digital imehamishiwa Kenya??
Posted on March 22, 2009 | No CommentsInasemekana kwamba producer na muimbaji Ambrose Akwabi a.k.a Dunga amehamishia mizigo yake nchini Kenya ambapo ndipo makazi yake rasmi,namaanisha alipozaliwa…Chanzo cha habari kinasema kwamba Dunga ameona ni heri arudi nyumbani na kufungua studio pande hizo..Infact, Dunga is said to be the brains behind a studio... -
Is Hov becoming old to Bey?
Posted on March 22, 2009 | No CommentsPicha iliyopigwa juzi tu ya rapa maarufu duniani,Jay Z….Age aint nothing,just a number but Is he becoming old to lady B?! -
Mungu amlaze pema Peponi,Jade.
Posted on March 22, 2009 | No CommentsJade Goody,nyota wa Big Brother nchini Uingereza wa mwaka 02′ afariki dunia baada ya kuugua maradhi ya kansa kwa muda mrefu.May Almight God rest her soul in Peace. -
Baba wa Daz Baba auwawa!
Posted on March 22, 2009 | 1 CommentBABA mzazi wa msanii wa muziki wa bongo Fleva, David Mwanyika (Daz Baba), Selestine Mwanyika amefariki dunia baada ya kupigwa na nondo yenye ncha kali kichwani na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi.Tukio hilo la ajabu lilitokea juzi usiku majira ya saa tano baada ya majambazi... -
Fashion Police…….!!
Posted on March 22, 2009 | 2 CommentsWadau im not into Fashion that much but…….look at Enika,how she has just messed up and say something!Wasanii wetu wa Kibongo ushauri kuhusu mavazi muhimu…..Wanamuziki wa Kibongo tafuteni watu maalumu wa kuwashauri kuhusu mavazi jamani,Huyu ni Estelle,mwanamuziki kutoka nchini Marekani,huyu anaongoza chati ya kuvaa vibaya,hapa... -
Watu Walivyogawana Umaskini
Posted on March 22, 2009 | No CommentsMatonya,B12 na Adam Mchomvu wakishow Luv! From left Makamua kutoka Wakali Kwanza,Steve Tenga kutoka redio ya watu na mashabiki wakiangalia kwa umakini show inavyoenda! Juacali,mfalme wa muziki aina ya GENGE kutoka nchini Kenya akionesha ujuzi wake Kila mtu na wake na kama hana shauri yakee,sista... -
Leo Nature kugawana umaskini
Posted on March 20, 2009 | No CommentsLeo ndio leo,Juma Kassim Nature aka Kibla kugawana umaskini na watu wake pale Diamond Jubilee hall na Ferouz vilevile atalaunch albam yake ya pili inayoitwa ‘Sauti na Vyombo’..Wanamuziki kama Afande Sele,Fid,Makamua,Qj wataisindikiza show hii bila kumsahau mkali wa muziki wa Genge kutoka Nairobi,Juacali.Wanasema mjanja yeyote... -
Sina ugomvi na Nonini-Juacali
Posted on March 20, 2009 | No CommentsMfalme wa muziki wa Genge nchini Kenya,Juacali asema ya kwamba hana ugomvi wowote na Nonini tofauti na watu wanavyozungumzia.Akiongea na angaliabongo:“Nonini ni rafiki yangu na sina ugomvi nae kabisa tofauti na watu wanavyozungumzia,nafanya aina moja ya muziki na Nonini na tunaheshimiana sana”Juacali..Mwanamuziki huyu yupo nchini... -
Poor Chris Brown!
Posted on March 19, 2009 | No CommentsChris Brown,anaonekana mnyonge sana…ni kutokana na yote yaliyotokea hapo nyuma au kuna lingine?
