Shangwe wiki hii ndani ya Mbeya…


Ile tour ya Albam ya shangwe yenye ngoma zote za ukweli wiki hii ni moja kwa moja mpaka Mbeya ndani ya ukumbi wa Dandhoo…Wasanii kama Afande Sele,Prof Jay,Ngwear,Ferouz,Juma Nature,Cassim.PNC na wengine kibao…Mkazi wa Mbeya hutakiwi kukosa

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. ‘Usiku wa Kujiachia na Ndovu’
  2. Ferouz,Nature kuzindua albam zao siku moja!
  3. Leo Nature kugawana umaskini
  4. Usiku wa Wenge BCBG ndani ya Zhong Hua Garden wiki hii!
  5. Resi za Fiesta kama Hivi mwaka huu….

About the Author