Hongera Prezzo!


Ikiwa ni miezi michache tu tokea mwanamuziki kutoka nchini Kenya, The Cash Money Brother,Prezzo kufunga ndoa na mwanadada Daisy,wanandoa hao wamebahatika kupata mtoto wa kike na hivi navyokwambia ni kwamba Prezzo ana furaha sana na amesema watu wakae tayari kwani anatarajia kudondosha zawadi ya nguvu kwa mkewe kwa kumpatia mtoto wa Kike!!!!1Hongera Mr & Mrs Prezzo

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Matonya ndani ya Oslo
  2. Mzee wa kujipaisha East Africa!
  3. Hongera Temba aka Baba Michelle!
  4. Ni Zamu yangu-Bushoke
  5. Hongera Maunda..Baby Boy!

About the Author