
Ni kitambo sana tokea tusikie Wateule kwenye game….kila mmoja alikuwa anafanya music kivyake..Sasa unajua nini?mwaka huu wamesema ni wao kwakuwa kila mmoja kaachia wimbo wake kivyake na baada ya hapo wameachia project ya pamoja..Wajua inaitwaje? ‘Msela’
Tuone watafanikiwa kuweka record kama walivyosema au ndio tena stori za kila siku?!
Related posts:
