
Hivi unakumbuka ile video ya Luda ya ‘What Them Girls Like’ ?Basi sura hii lazima utakuwa umeiona ndani ya video hiyo…kwa jina anaitwa Amber na video hiyo ya Luda ndiyo ilimpa umaarufu!
Sasa eti naskia ndiye Official Girl wa Kanye West,hayo ni ya kweli au picha ndio zinaleta utata? Hebu mdau niambie kama unajua habari za hawa!
Related posts:
