Hivi unajua sababu gani iliyompelekea Kanda Bongoman kutowasili nchini wiki iliyopita?Kwa taarifa tu nimeambiwa kwamba jamaa hakupewa hela iliyostahili ndiomana aliamua kula bati la nguvu lakini kwa habari ambazo naweza kusema ni hot news kutoka afrikabambataa ya Sophia Kessy ni kwamba Mtu mzima wa ‘Inde,Inde’ anadondoka nchini tarehe 20 mwezi huu,Jamani wadau wa Bolingo,mkali huyu hapa,usikubali kukosa show yake

Related Posts

  1. De Plaizir ndani ya Bongo!
  2. Malkia wa ‘Afrika Bambataa’
  3. De Plaizir atua Bongo
  4. Mbilia Bel Kudondoka Bongo leo.
  5. Bongo 5 Media Presents Miss Kigamboni