About Angalia Bongo
Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with what is on my mind..İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian... Love friends and believe to DİE with something as was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me.Anyting contact;angaliabongo@yahoo.com Thanks for passing by xoxox..... Read More
Sikiliza BongoFlava
Blogroll
- Africa Bambataa
- Afrojam
- Anh Vu
- Blazing Zone
- Bongo Celebrity
- Bongo Star Link
- Candy World
- Changamoto
- Dee
- Dina Marios
- Fashion Junkii
- Jamii Forums
- Jiachie
- John Kitime
- Karibu Nyasa
- Kisima Cha Fikra
- Kulikoni Ughaibuni
- Ladies Stuff
- Loveness Luv
- Maisha na Mafanikio
- Matukio UK
- Mtaa Kwa Mtaa
- Sauti za Bongo
- Shamim
- Sheria na Mavazi
- Simon
- Subi
- Swagga Bovu
- Total Knockout
- U-TURN
- Viva Afrika
Archive for March 11th, 2009
-
Ziara za Michael Jackson itakuwa ya mafanikio?!
Posted on March 11, 2009 | 1 CommentZiara za mfalme wa Pop Duniani,Michael Jackson zitakuwa za mafanikio baada ya mashabiki wake kumkumbuka akiwa on stage?! -
Groove Back Nite likizoni kwa muda!
Posted on March 11, 2009 | 2 CommentsUlikuwa unahudhuria pale Mzalendo Pub kwaajili ya kujigruvika mambo ya enzi hizoo?????Basi Dj P Moe alinitumia ujumbe huu na nimeona niuweke ili na wewe uweze kujua kwamba Groove Back Nite imesitishwa kwa muda mpaka atakapotutangazia rasmi:” ILE RAHA YA GROOVEBACK-NITE ILIYOKUWA INALETWA KILA JUMAMOSI NA... -
Mwaka wa Wateule huu!
Posted on March 11, 2009 | No CommentsNi kitambo sana tokea tusikie Wateule kwenye game….kila mmoja alikuwa anafanya music kivyake..Sasa unajua nini?mwaka huu wamesema ni wao kwakuwa kila mmoja kaachia wimbo wake kivyake na baada ya hapo wameachia project ya pamoja..Wajua inaitwaje? ‘Msela’Tuone watafanikiwa kuweka record kama walivyosema au ndio tena stori... -
Eti huyu ndiye anayemdatisha Kanye West?
Posted on March 11, 2009 | No CommentsHivi unakumbuka ile video ya Luda ya ‘What Them Girls Like’ ?Basi sura hii lazima utakuwa umeiona ndani ya video hiyo…kwa jina anaitwa Amber na video hiyo ya Luda ndiyo ilimpa umaarufu!Sasa eti naskia ndiye Official Girl wa Kanye West,hayo ni ya kweli au picha... -
Bongoman kudondoka Bongo 20th
Posted on March 11, 2009 | No CommentsHivi unajua sababu gani iliyompelekea Kanda Bongoman kutowasili nchini wiki iliyopita?Kwa taarifa tu nimeambiwa kwamba jamaa hakupewa hela iliyostahili ndiomana aliamua kula bati la nguvu lakini kwa habari ambazo naweza kusema ni hot news kutoka afrikabambataa ya Sophia Kessy ni kwamba Mtu mzima wa ‘Inde,Inde’... -
MO Racka kutoka The Rockaz
Posted on March 11, 2009 | 1 Comment‘Kisa Mi Nashine’ ndio wimbo uliomtoa Moracka na kuweza kusikika kwenye gemu.Kama ukiwa msikilizaji mzuri wa nyimbo za bongo fleva basi hili jina halitokuwa geni kabisa.Mo Racka anabainisha kwamba mbali na kuwa mwanamuziki lakini anapenda kuweka sawa vitu vingine visivyohusiana kabisa na muziki kama kuhakikisha... -
Aliyempiga Mzee Mwinyi amekiona!
Posted on March 11, 2009 | No CommentsJamaa alitoka alipotokea moja kwa moja kampa kofi la ukweli Mzee wa watu,tunayempa heshima zote,Mzee Ruksa kofi la ukweli.Lakini Mzee wa watu hana hiyana,akaona aendelee na hotuba yake huku akisema ‘Jamani babu yenu mzimaaa,tuendelee” kwa taarifa tu ni kwamba Mzee Mwinyi kamsamehe mtu huyo lakini...
