
Huyu ni nyota wa Hiphop huko pande za USA….Kwa habari tu ni kwamba King Of South ndiyo muda wake wa kutamba kama unavyomuona mzuka umepanda mpaka vest aliyovaa imechanika kutokana na mashabiki kumvuta huku na kule
Anatamba na wimbo ‘Dead and Gone’ aliompa shavu Timberlake.Unakumbuka kitambo aliachia ‘Im Sprung’??sasa amerudi kuwashika,TI vs TIP mpaka kwenye Paper Trail!
Related posts:

am like you T.I