
Wema akitoka na mama yake nje kwa dhamana
Hiyo ni baada ya kuachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam,Wema Sepetu alianzisha mzozo baada ya kumkataa mama yake na kumkimbilia boyfrind kitendo ambacho mama yake mzazi alilaani vikali.
“Kwanini mnanilazimisha kuondoka kwa utaratibu ambao siupendi?Wema aliwaka.
Mama yake akaapa kurudisha dhamana kama hatoondoka naye.
Baada ya hapo watu walimlazimisha Wema kuingia kwenye gari ambalo mama yake aliaka aingie.
Wema ameachiwa nje kwa dhamana lakini mtuhumiwa mwenzake aitwaye Asha Jumbe amerudisha rumande Segerea baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana. Watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka ya kuharibu gari la muigizaji mahili wa filamu nchini Steven Kanumba.
Related posts:
