REST IN PEACE DEAR FRIEND REHEMA


Kwakweli najiskia vibaya kutokana na habari ambayo nimeipokea hii leo kuhusu jirani yangu,rafiki yangu na kama dada yangu aliyekuwa ananipa mwongozo mzuri ndani ya kazi yangu kufariki Dunia,Ni Rehema Mwakangale.
Mtangazaji wa kituo cha televisheni cha ITV kilichopo hapa mjini,Nimeumia sana kwakweli….
Msiba upo nyumbani kwa bibi yake na shughuli za maazishi zinaendelea Sinza Madukani karibu na Deluxe Hotel..Mungu Ailaze Roho ya Rehema mahala pema peponi.

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Rest In Peace 2pac!
  2. Rest In Peace Roy…
  3. Rest In Peace Miriam Makeba.
  4. REST IN PEACE NJITI..
  5. REST IN PEACE UNCLE JIBEE..

About the Author