De Plaizir aachia ‘Swali’


Ukiwa unapenda kusikiliza nyimbo za hisia basi wimbo huo mpya wa Deplaizir, ‘Swali’ utakugusa kwnai umeimbwa kwa hisia ya ukweli ambayo lazima utakubaliana na maneno yangu.Amemshirikisha Banana Zorro pamoja na Tarsis Masela.Wimbo umetulia kwakweli,panapostahili sifa ni lazima usifie

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. TID aachia ‘Siwezi’ akiwa jela.
  2. De Plaizir na Lady Jay D wafanya mambo!
  3. Binamu aachia ‘Msiache Kuongea’ redioni na video mzigoni!
  4. De Plaizir kurudi Tz
  5. Chid Aachia ngoma mpya ‘Pompompo’

About the Author