Sehemu ya Kuwepo!
27 Mar

Ni mwanamuziki kutoka kundi la Wakali Kwanza na sasa wanatamba na wimbo wa ‘Natamani’
Makamua ni mmoja wa wanamuziki waliochaguliwa kuingia wkenye kinyang’anyiro cha cha tuzo za Kili.Hivyo basi kama unakubali kazi za msanii huyu mchague ili aweze kuwa msanii wako bora wa RnB hapa nchini.
Njia rahisi nenda www.kilitimetz.com na ndani yake unaweza kumpigia kura MAKAMUA.Kwa walio nchini unaweza ukatuma ujumbe mfupi kwenye simu yako,Andika neno Kili 022 makamua na utume kwenda namba 15522….
26 Mar

Jamaican dancehall musician Beenie Man will not stage a concert in Kenya as earlier announced.
The musician had been hyped to perform in Mombasa and Nairobi end of March but now the organizers have washed their hands.
“The show has been cancelled and Beenie Man will not be performing in Kenya anytime soon,” said one of the organizers from Spin World International, a Kenyan events company that was co-ordinating with a Canadian firm to bring the Jamaican musician
24 Mar

Kama kawa,unaambiwa ANGALIABONGO ili iweze kukupa yale yanayotokea Bongo ikiwa ndio kwanzaa TUNAIVUNJA kutoka hapa ni kwamba mwanamuziki aliyesaini mkataba na kampuni kubwa duniani ya Sony,Nakaaya Sumari amevalishwa pete na rapa M1 kutoka kundi la Dead Prez…
Nakaaya alibainisha hayo na kusema kwamba yeye ndiye official Girl wa M1 na kudhihirisha hilo ameshavalishwa pete na baadaye mwaka huu wanatarajia kufunga ndoa..
Kumbuka hapo mwanzo Nakaaya alikuwa fiancee wa Gaidi Faraji ambaye wameachana 4 good mwaka jana mwishoni na mtu mzima M1 kuamua kuifanya iwe Official..Ni hivyo tuu!
24 Mar

Love Birds!
Wakiwa beach having good time…
Baada ya kuficha kwa muda mrefu,Christina Millian ambaye ni muigizaji,mwanamuziki pamoja na mtangazaji maarufu nchini Marekani kuhusu kuwa na uhusiano na mwanamuziki The Dream,mambo yamekuwa hadharani kama unavyoona….
24 Mar
Hivi ndivyo vilivyobaki hoteli ya Paradise
Mmiliki a hoteli hiyo,Mahad akiwa amekaa kwa huzuni baada ya hoteli hiyo kuungua vibaya
Hoteli kubwa ya Paradise Resort iliyopo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani yateketea vibaya kwa moto
24 Mar

Ile tour ya Albam ya shangwe yenye ngoma zote za ukweli wiki hii ni moja kwa moja mpaka Mbeya ndani ya ukumbi wa Dandhoo…Wasanii kama Afande Sele,Prof Jay,Ngwear,Ferouz,Juma Nature,Cassim.PNC na wengine kibao…Mkazi wa Mbeya hutakiwi kukosa
24 Mar

Mwanamuziki wa miondoko ya Raga,Collie Buddz,ashindwa kutokea Kenya kutokana na Meneja wake kuweka wazi kwamba hana taarifa yoyote kuhusiana na mapromota kutoka Kenya kumtaka mwanamuziki huyo…
Hii imetokea baada ya waandaaji kutangaza kwamba mwanamuziki huyo atawasili nchini Kenya kwa ziara ya siku mbili bila kuwasiliana na meneja wa mwanamuziki huyo na ndivyo ilivyowasababishia matatizo na mashabiki kwakuwa wamepoteza imani tena ya kwueza kuaminika….Mapromota kuweni makini na mnachofanya!
24 Mar
Ikiwa ni miezi michache tu tokea mwanamuziki kutoka nchini Kenya, The Cash Money Brother,Prezzo kufunga ndoa na mwanadada Daisy,wanandoa hao wamebahatika kupata mtoto wa kike na hivi navyokwambia ni kwamba Prezzo ana furaha sana na amesema watu wakae tayari kwani anatarajia kudondosha zawadi ya nguvu kwa mkewe kwa kumpatia mtoto wa Kike!!!!1Hongera Mr & Mrs Prezzo
23 Mar
Recent Comments