Victoria Martin,Fatma Amour na mashabiki wengine wakiangalia kw aumakini onesho la Mustafa Hasanali
Mwanamitindo maarufu nchini,Victoria Martin ambaye pia alikuwa Miss Redds mwaka juzi akipita na kivazi cha Ally Rehmtullah kwenye onesho la Lady In Red. Ni wiki ya kujirusha kama unavyoona pichani,matukio tofauti.
Mbunifu wa mavazi Mustafa Hassanali akimpongeza Asia Idarous kwenye onesho lake la mavazi lililojulikana kama Lady In Red.
Related posts:
