Albam kwangu lazima-Jay D


Jaydee a.k.a Binti Komando ameibuka na kukanusha uvumi uliojitokeza siku za karibuni kwa kudai kuwa anaachana na mpango wa kutoa album.
“hakuna kitu kama hicho kuwa mimi sitatoa album, ni uzushi ambao sijui umetokea wapi na umeanzia wapi, nitasemaje kuwa sitoi tena album wakati ndio kazi yangu?, sema majukumu kidogo yamekua mengi kwahiyo nitachukua muda kidogo kutoa album ila MAPINDUZI yanaendelea.

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Dogo Mfaume kuja na albam
  2. Albam hazilipi-Dully Sykes!
  3. Nitauza albam yangu mkononi-Joh Makini
  4. Ni wakati wa albam-Maunda
  5. Nipo Single na nimerudi mzigoni-Ray C

About the Author