Anayeogopeka majini


Ni kiume kiishicho majini na kinaongoza kwa kuogopeka kwakuwa hakina huruma na kinapenda sana kuishi mtoni..naambiwa ‘Usimtukane Mamba kabla ya kuvuka Mto’ kwakuwa akikukamata hakuna mswalia mtume.Kiumbe mwingine ambaye naye anaogopeka ni Kiboko,,huyu kweli ni kiboko kwakuwa hakuna zaidi yake.

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Teddyboy atesa pande za Ughaibuni
  2. Hellow Wadau
  3. Ferouz,Nature kuzindua albam zao siku moja!
  4. Nani alaumiwe kwenye hili?
  5. Ndoto Zetu Zinatofautiana..

About the Author