
PICHANI NI MWANAMUZIKI MANU DIBANGO
Nafikiri utakuwa unaujua vizuri wimbo wa mwanamuziki Rihanna uitwao ‘Dont Stop The Music’ ambao umeweza kutamba sana,kumbe mwanamuziki huyu aliiba mashairi ya mwanamuziki mkongwe kutoka Cameroon anayejulikana kama Manu Dibango…
Kama hiyo haitoshi Manu kaja juu na kumtaka Rihanna alipe fidia ya wimbo huo na hapo Rihanna akadai kwamba alimuomba Michael Jackson ambaye ndiye mwenye wimbo…Saga continues..habari zinaendelea na inabainika kwamba kumbe hata The Jacko aliiba mistari kwenye wimbo huohuoooooo..Manu anataka hela ama la sivyo ama zake ama za Rihana na The Jacko…
Related posts:
