
Bifu la 50 Cents na Ricky Ross lafikia hapa….
50 Cents aamua kumuadabisha Ricky baada ya kumchukua mke wa Ricky Ross na mwanamke huyo kumsemea mbovu mume wake na mbaya zaidi kamgeuka hali ambayo imemshusha pumzi Ricky na mpaka muda huu hajatoa tamko rasi baada ya mwanamke huyo kumsemea maneno machafu
hebu jisomee mwenyewe mambo aliyozungumza mwanamke huyo kwenye mkanda ambao 50 alimrekodi….
“Hi I’m Tia, the mother of Rick Ross’ son and here’s my story…As you listen to his raps you would def believe him but It is surprising that he would sit there and say he spent $200 a month on food $300 a month on clothes. His jewelry is rented possibly not real, his cars are being leased…He was a Corrections Officer. I was cleaning the house [and] I happened to find hand cuffs and letters showing that he stepped down from the position…He denied it and his sister confirmed it…Right now I don’t have a car I have to have someone to pick me up and take the kids to school…..
Kuonesha kwambaq yupo juu,50 akamchukua mwanamke huyo shopping na kumwmabia achukue anachotaka…sijui Ricky atajibu nini wakati huu!
Pichani ni 50 Cents na mke wa Ricky Ross
Related posts:
