Babu huyu wakati anapigwa picha hii alisema hakuna uzeee hapa wala nini,Nina nguvu za kulitumikia taifa.Kama unavyomuona yupo bizee akitengeneza ‘Vibubu’,nadhani unavielewa,kwa wale tunaoona benki mbali,tunakuwaga na vitu kama anavyotengeneza huyu babu almaarufu kama ‘VIBUBU’ vya kuhifadhia fedha.
Related posts:
