Kichwa pekee na tegemezi kilichobaki ndnai ya Daz Nudaz,Feruz asema kwamba mwaka huu ni wake na kudhihirisha hilo ataachia albam moja huku baadhi ya nyimbo zikiwa tayari.kwa taarifa tu ni kwamba albam yote ameifanyia kwa Prodyuza wake Majani na itakuwa sokoni mwezi wa tano…..Atakubalika kama kawaida yake?

Related Posts

  1. Albam hazilipi-Dully Sykes!
  2. Tufanye kazi ndg yangu!
  3. Siwezi kumtukana Hermy B-Mansui
  4. Stara Tom huyoo!
  5. Marlaw kuachia albam ya pili mwezi ujao.