Archive for January 14th, 2009

  • Natamani kuirudisha ‘Mafahari Watatu’-Choki

    Natamani kuirudisha ‘Mafahari Watatu’-Choki

    Rais wa bendi ya T-Respect,Ally Choki atamani kurudisha kundi lao la ‘Mafahari Watatu’ lililokuwa linaundwa na Banza Stone,Muumini pamoja na yeye.Choki alisema kwamba kama mfadhili yeyote akitokea kuwadhamini basi yupo radhi kuwatafuta wenzake walipo na kuweza kuungana ili kutengeneza kitu tofauti.Kumbuka kundi hili la Mafahari...

    Full Story

  • Anayetuliza fujo nchini

    Anayetuliza fujo nchini

    Ni mmoja wa askari kutoka FFU akiwa anasikiliza amri kutoka kwa kamanda.FFU ni kikosi cha kutuliza ghasia nchini.

    Full Story

  • Hii ndiyo foleni ya Ubungo…

    Hii ndiyo foleni ya Ubungo…

    Foleni ya magari imekuwa ni tatizo kubwa nchini hasa mjini Dar-Es-salaam,kama unavyoona kwenye picha,ni foleni barabara ya Morogoro na Mandela.Nini kifanyike ili tatizo ili liweze tatuliwa baada ya njia tatu?

    Full Story

  • Bosi wa Richmond kortini..

    Bosi wa Richmond kortini..

    Huyu ndiye bosi wa kampuni ya Richmond Development,Naeem Adam Gire ametimba kizimbani kujibu shtaka la kughushi na kutoa taarifa za uongo kuhusu uwezo wa Kampuni hiyo.

    Full Story

  • Balozi wa Uzazi salama

    Balozi wa Uzazi salama

    Nyota wa ‘Tupendane’,namzungumzia Stara Thomas ambaye pia ni balozi wa Uzazi Salama akizungumza jambo katika studio za Clouds Fm.Habari hii kwa hisani ya Michuzijr.Mbali na hayo,mwanamama huyu mwenye watoto wawili anatarajia kutoa single yake ya kwanza ndani ya mwaka huu,’Nini Sina’ aliyofanya studio za Fishcrab…

    Full Story

  • Congratulations Jaheim

    Congratulations Jaheim

    Natoa pongezi kwa my friend Jaheim kwa kupata cute baby girl,Susana.Mungu amzidishie heri na maisha marefu mtoto huyu!Shes so lovely!~

    Full Story

  • Usafi Ndio huu…

    Usafi Ndio huu…

    Vijana wa aina hii wapo kwenye kila sehemu za barabara kubwa hapa mjini.Hujitolea kusafisha magari bila kuamriwa na baadaye kwa huruma yako unaweza ukawapa chochote.Vijana wanahitaji ajira.

    Full Story