Angalia Bongo

Sehemu ya Kuwepo!

Archive for January, 2009


Mzee wa komesho,AY atoa tamko rasmi la kuachia ngoma yake itakayoitwa ‘King and Queen ambayo itakuwa tayari kwenye redio na televisheni soon baada ya kudondoka zake kutoka UK ambapo atafanya shoo mbalimbali.
Kwa kifupi kuhusu video hiyo ni kwamba kafanya chini ya production ya Ogopa na waliopo kwenye video hiyo ni pamoja na Miss Tz no 3,Jokate…Ay anahabarisha kwamba itakuwa ni video bora ya mwaka

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Y-Dash akiwa anaongea kwa jazba kwenye studio za Clouds FM kuhusiana na kumshutumu Said Fella kwamba ni fisadi wa Bongo Fleva kutokana na kuwanyonya wanamuziki hawa mpaka kufikia hatua ya kujiengua kundini

    TMK Unity, waja juu na kusema ya kwamba Fella ni fisadi wa Bongo Fleva kutokana na kuwanyonya wanamuziki hao kwenye hasa kwenye albam yao ya kwanza ambayo hawakupata hata kitu.Fella ni Fisadi wa Bongo Fleva,walisisitiza kusema hayo..

  • 2 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • FERUZI ajipanga na 09


    Kichwa pekee na tegemezi kilichobaki ndnai ya Daz Nudaz,Feruz asema kwamba mwaka huu ni wake na kudhihirisha hilo ataachia albam moja huku baadhi ya nyimbo zikiwa tayari.kwa taarifa tu ni kwamba albam yote ameifanyia kwa Prodyuza wake Majani na itakuwa sokoni mwezi wa tano…..Atakubalika kama kawaida yake?

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Siwezi kumtukana Hermy B-Mansui


    Rapa chipukizi aliyewahi kutamba na wimbo wa ‘Kina Kirefu’,Mansuli asema ya kwamba ingawa na prodyuza wake aliyemtoa Hermy B kumtosa lakini kamwe hatokaa kuja kumtukana prodyuza wake huyo ingawa amemtema na kuwa na vyungu vingine.

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Nakaaya vipi?!


    Aliazna vizuri kabisa na kuweza kutingisha na ‘Mr Politician’ na kuja na albam ‘Nervous Condition’ lakini baada ya hapo ni kimya…Nitamtafuta ili aweze kuweka wazi mipango yake ya mwaka 09 kwasababu kila msanii kajipanga vilivyo mwaka huu ili tu ahikikishe anafika juu

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo

  • Mchekeshaji maarufu nchini,Steve Nyerere nae hivi karibuni ataanza kuonekana kwenye kituo cha televisheni ya taifa akichekesha,Swali ni je ataweza kufikia level za wakina Joti?

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Raba ya Kanye West kuuzwa usd 600


    Jamani,wapenzi wa raba mpya,Rapa KAnye West anatarajia kuuza aina ya raba alizobuni kwa dola za kimarekani mia sita sawasawa na shilingi yetu ya Kitanzania laki nane….Mbali na hayo,raa hiyo itaanza kuuzwa rasmi mwezi wa sita mwaka huu…Anzeni kutoa oda kwaajili ya raba hizo!

  • 4 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Mwanafa,AY ndani ya Uk wiki hii


    Wanamuziki wa kizazi kipya walioweza kuiteka Tanzania,wanatarajia kutua nchini Uingereza siku ya jumamosi kwaajili ya show….wakazi wa UK kazi ni kwenu

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Malkia wa Ngwasuma!


    Malkia wa ngwasuma mwaka huu,Vivian Steven akiwa anafurahia kupata nafasi hiyo..Amejinyakulia gari pamoja na fedha taslim milioni moja..

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Obama Celebrations..


    Big Tyme Promotions presents Obama Celebration Party on saturday 24.01.09 at
    Bør & Børsen (Trondheimsveien 13)
    Time 21:00-03:30
    Cover Charge NOK 100
    Snacks Available

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • About Angalia Bongo

    Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...I would apreciate İf you can call me SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with my desicions, without forgeting İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian.Love friends and believe to DİE with something as İ was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me. Thanks for passing by xoxox..... Read More

    Have Your Say

    How Is our Website?

    View Results

    Loading ... Loading ...

    GrooveBack



    Disco bora na la kijanja nchini, pekee linalowahusisha waliokuwapo, waliopo na wanaotaka kujua kilichotokea