Archive for December, 2008

  • Kijiji cha makumbusho!

    Kijiji cha makumbusho!

    Nilitembelea kijiji cha Makumbusho jana,na kuona marekebisho yanafanyika ya hapa na pale,nadhani tumejifunza na sasa tunataka kuboresha sehemu zetu muhimu za nchi ambazo ndio vivutio vikubwa kwa watalii wanaotembelea nchini.!

    Full Story

  • Habari zaidi kutoka kwa Husein Ngazo ni kwamba Matonya anafanya vizuri kwenye ziara yake huko barani Ulaya…Bila kusahau tarifa nilizozipokea ni kwamba Matonya akirudi kutoka ziara hiyo anatarajia kufunga ndoa na binti ambaye amekaaa kumuweka wazi,mimi nimealikwa jamaniiii!

    Full Story

  • Chris Brown akijiachia na yeye pande zake

    Chris Brown akijiachia na yeye pande zake

    Chris Brown akiwa amejiachia pande zake na mbwa wake,Lol,Rihana’s right hand!Hivi ni kweli anatarajia kuitwa dad hivi karibuni au ni rumours?!sina jibu,Thats Chris Brown!

    Full Story

  • ‘Usiku wa Kujiachia na Ndovu’

    ‘Usiku wa Kujiachia na Ndovu’

    Mwezi disemba umewadia,na kila kona kuna pilikapilika za hapa na pale,kwenye kona ya starehe ndio usiseme,kila kona unaskia kuna tafrani flani imetokea.Sasa moja kwa moja pande za Dodoma,siku ya tarehe ishirini na nne mwezi huu kuna bonge ya Event inafanyika pande zile utakaojulikana kama ‘Usiku...

    Full Story