
Ni nguli wa muziki nchini,au kwa lugha ya wenzetu wanasema legendery.Mzee Gurumo amekaaa kwenye sanaa hii ya muziki tokea mwaka 1961 akiwa na miaka ishirini na moja tu,sasa piga hesabu leo hii ana miaka mingapi?na bado anadunda kwenye fani…..
Zilizuka fununu kwamba anaacha muziki,niliweza kukutana nae na akasema kwamba swala hilo halipo comfirmed ila likuwa sawa ataweza kujulisha kama anastafu muziki au vp!
Related posts:
