About Angalia Bongo
Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with what is on my mind..İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian... Love friends and believe to DİE with something as was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me.Anyting contact;angaliabongo@yahoo.com Thanks for passing by xoxox..... Read More
Sikiliza BongoFlava
Blogroll
- Africa Bambataa
- Afrojam
- Anh Vu
- Blazing Zone
- Bongo Celebrity
- Bongo Star Link
- Candy World
- Changamoto
- Dee
- Dina Marios
- Fashion Junkii
- Jamii Forums
- Jiachie
- John Kitime
- Karibu Nyasa
- Kisima Cha Fikra
- Kulikoni Ughaibuni
- Ladies Stuff
- Loveness Luv
- Maisha na Mafanikio
- Matukio UK
- Mtaa Kwa Mtaa
- Sauti za Bongo
- Shamim
- Sheria na Mavazi
- Simon
- Subi
- Swagga Bovu
- Total Knockout
- U-TURN
- Viva Afrika
Archive for November, 2008
-
Rest In Peace Miriam Makeba.
Posted on November 10, 2008 | No CommentsAtakumbukwa na mambo mengi sana,Mama Miriam Makeba alifariki hapo jana nchini Italy akiwa na umri wa miaka sabini na sita.Kama unakumbuka aliwahi kutamba na wimbo ‘Patapata’ pamoja na ‘Malaika’ ambao ulimpandisha sifa barani Afrika hata na nje ya Afrika.Mungu amlaze mahala pema,Amein. -
Fiesta 2008,ilikuwa hapatoshi.
Posted on November 10, 2008 | No CommentsWazee wa Ngwasuma,walikuwa wasafi na waliweza kuwateka watazamaji kwa shoo yao nzuriNakaaya Sumari nae aliweza kupanda jukwaani na kurekisha na Mr.Politician.Kat Deluna,aliperform show nzuri sana,kwakweli ameweza kuweka historia ya mwaka 2008,Jirambe na FiestaBSasa anataka umuite The Big Blue,simsifii ila alipendeza sana mwanamuziki huyu ambaye alianza... -
richie one na mamaaa mtarajiwa
Posted on November 9, 2008 | No Commentsmsanii kutoka kundi la wanaume halisi richard shauri marufu kama richie one akiwa na mkewe mtarajiwa hakuweza kuweka bayana jina la mama lakini kama mnavyoona pichani,ilikuwa mwanza kwenhe fiesta ndipo msaniii huyo alipoonekana mara kwa maa na binti huyo -
juma nature apatwa na kigugumizi kuhusu inspector
Posted on November 9, 2008 | No Commentsmkali wa kwaito na kiongozi wa wanaume halisi sir juma nature alipatwa na kigugumizi na kushindwa kuweka wazi ni kitu gani kilchomfanya inspector kujitoa kundini,juma alisema kuwa jamaa hajatoka kundini ila ameamua kufanya kazi peke yake,aliulizwa kuwa msanii anapotaka kufanya kazi binafsi lazima atangaze kama... -
Happ Bday Coleta!
Posted on November 7, 2008 | 2 CommentsA day like today,some decades passed be,A family of Mr n Mrs Mbezi were celebrating a coming of a new baby girl,thats Colleta and she waz just crying as she knew nothing,But Today,she knows something so shez there laughing as it is her Special Day,Happy... -
Show ya kwanza ya Matonya ndani ya Belgium.
Posted on November 5, 2008 | No CommentsMawasiliano0485 741971 -
Ndugu wa Obama nchini Kenya ni furaha!
Posted on November 5, 2008 | No CommentsMashabiki wakifurahia ushindi wa ObamaNdugu wa rais mpya wa Obama huko Kogelo nchini Kenya wafurahia kushinda kwa Barack Obama kiti cha urais nchini Marekani.Ndugu hao wa Obama kwa upande wa baba wamefurahia ushindi huo kwakuwa wanaamini ushindi huo ni mapinduzi tosha kiwa watu weusi. -
Obama apoteza bibi yake mzazi.
Posted on November 4, 2008 | No CommentsBibi wa Obama,Madelyn Dunham.May her soul rest in Peace.OBAMA AKIWA NA BABU YAKE NA MAREHEMU BIBI YAKE.Siku mbili tu kabla ya uchaguzi,mgombea wa urais nchini Marekani,Barack Obama apoteza bibi yake mzaa mama baada ya kuugua ugonjwa wa kansa kwa muda mrefu. -
Ziara ya Matonya Europe.
Posted on November 4, 2008 | 1 CommentBIG TIME PROMOTIONS inawaletewa ‘mATONYA eUROPE tOUR 2008.Wadau wa ugahibuni kaeni mkao wa kula kwa kula na kukata shoka katika mambo ya kuendeleza libeneke la Bongo flava ya ugahibuni.Ratiba ni kama ifuatavyo:-Belgium ni 07.11.08,France 08.11.08,Finland 15.11.08,Norway 21.11.08,Berlin 22.11.08,Holland 28.11.08 na Frankfurt ni tarehe 29.11.08.Kwa maelezo... -
Chid Benz aacha Muziki!?
Posted on November 4, 2008 | No CommentsKatika hali isiyokuwa ya kawaida,Mwanamuziki wa kizazi kipya,Chid Benz aachia muziki baada ya kuona ya kwamba kila ishu anaandamwa yeye.Hali hiyo imetokea baada ya Chid kumpiga kibao cha uso mwanamuziki Matonya kutokana na chanzo ambacho hakikuweza kufahamika.Baaada ya tukio hilo,watu waliweza kumkanya Chid na ndipo...
