Archive for November, 2008

  • Vimwana wa Burundi mwaka 2008

    Vimwana wa Burundi mwaka 2008

    Hivi ndivyo vimwana kutoka pande za Burundi waliokuwa wanawania Miss Burundi mwaka huu.

    Full Story

  • Wateule Back Again!

    Wateule Back Again!

    Kundi la rap nchini,lililokuwa linajulikana kama ‘Wateule’ waliowahi kutamba na wimbo wa ‘Watu Kibao’ lilikuwa kimya kipindi cha kati na Mchizi Mox,mmoja wa rapa anayeunda kundi hilo kujiengua,amerudi tena kundini na inasemekana kwa pamoja,Jay Moe,Jafaray,Kevin pamoja na Solo Thang aliyeko mbelembele kutoka na albam ya...

    Full Story

  • Msafiri Diof ndani ya Segerea

    Msafiri Diof ndani ya Segerea

    Msafiri Diof,rapa mashuhuri wa bendi ya Afrikan Stars,Twanga Pepeta kwa sasa nasemea ndani ya gereza la Segerea baada ya kukutwa na kosa la kumpora mtu huko mitaa ya Magomeni yeye na wenzake wawili.Diof ambaye yupo ndani tokea mwezi uliopita tarehe 14 anatarajia kusomewa mashtaka kesho...

    Full Story

  • De Plaizir na Lady Jay D wafanya mambo!

    De Plaizir na Lady Jay D wafanya mambo!

    Mwanamuziki wa miondoko ya rhumba kutoka nchini Uingereza,Blanchard De Plaizir aachia wimbo mpya unaoitwa ‘KENDE KAKA’ aliomshirikisha mwanadada nyota kutoka nchini Lady Jay D.Wimbo huu umeimbwa kwa lugha mbili ambazo ni lugha yetu ya kiswahili na kikongo ambao umebeba meseji kali ya mtu aliyechoshwa na...

    Full Story

  • TID apewa siku kumi tu.

    TID apewa siku kumi tu.

    Mwanamuziki nyota wa nchini,Top In Dar(TID)apewa siku kumi tu kukamilisha maelezo yake kuhusu kukata rufaa.Maelezo hayo yatatolewa na wakili wake na baada ya hapo ataweza kusikilizwa.

    Full Story

  • Matonya ndani ya Oslo

    Matonya ndani ya Oslo

    BIG TIME PROMOTIONS INAWALETEA MAMBO YA KUENDELEZA LIBENEKE LA BONGO FLAVA UGHAIBUNI, MSANII WA BONGO FLAVA” MATONYA” ANATARAJIA KUWAPAGAISHA WADAU WA MJINI OSLO NORWAY, KTK MAMBO YA KUSHEREHEKEA OBAMA NA KUKANDAMIZA BONGO FLAVA. WADAU WA BERLIN,HOLLAND NA FRANKFURT NAO WAKAE MKAO WA KULA KWANI NAKO...

    Full Story

  • ALLY REHMTULLAH’s SWAHILI FASHION WEEK COLLECTION

    ALLY REHMTULLAH’s SWAHILI FASHION WEEK COLLECTION

    A model passing with one of Rehmtullah’s designsFor the first time in Tanzania – Swahili Fashion Week, a two-day event which was held on the 5th and 6th of November. Guru Desginer Ally Rehmtullah from Tanzania was given the honour to open this two-day event...

    Full Story

  • Kikosi cha Maangamizi!

    Kikosi cha Maangamizi!

    Hiki ndicho kikosi cha timu ya mpira cha Maalbino nchini.pichani wakiwa wkenye mazoezi

    Full Story

  • Odemba ang’ara!

    Odemba ang’ara!

    Hiyo ndiyo Top 4 ya Miss Earth 2008 iliyofanyika huko Ufilipino.Mrembo aliyeteuliwa kuwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss Earth,Miriam Odemba ang’ara baada ya kuingia kwenye top 4 ya mashindano hayo na kutunukiwa taji la Miss Earth Air 2008

    Full Story

  • TID aachia ‘Siwezi’ akiwa jela.

    TID aachia ‘Siwezi’ akiwa jela.

    Katika hali ya kusikitisha,Top In Dar aonesha bado yupo fiti kwenye suala la kuimba ingawa na kuwa gerezani.Ameachia wimbo wake mpya unaoitwa ‘Siwezi’Ni ujumbe ulioandikwa na TID,akiwa gerezani.Ni wimbo mpya wa TID aliouachia UNAOITWA ‘Siwezi’.Mwanamuziki huyu yuopo gerezani akitumikia kifungo cha mwaka mmoja jela kwa...

    Full Story