Kuna mwingine anaingia kwenye fani ya uimbaji kwa vile alikuwa anapenda kuimba tokea utoto wake,mwingine ana kipaji hivyo anaamua kukiendeleza na mwingine anarithi kutoka kwa mama au baba au mtu yeyote ndani ya familia,sasa kwa Teddy Boy,msanii anayetamba na wimbo ‘Superstar kule nchini Uingereza amerithi kutoka kwa mama ambaye alikuwa muimbaji mzuri wa taarabu huko visiwani Zanzibar.
Kwa taarifa tu ni kwamba mwanamuziki huyu anatamba sana pande za Uingereza na anatarajia kudondoka nchini mwezi wa kwanza kwaajili ya show mbili tatu na kugeuza!
Related posts:
