
Huyu ndiye NYOTA NDOGO,mwanamuziki kutoka pande za KENYA aliyewahi kutamba na nyimbo zake kama ‘Watu na Viatu’ na ‘Nalia’
Watu wanasema huyu ndiye Lady Jay D wa Kenya,je kuna ukweli wowote hapo?Ameweza kutingisha kwenye Tamasha la Fiesta sana kwa staili yake mpya ya kupanda na madansa na kupagawisha washabiki
Related posts:

mimi nampenda sana huyu dada
anywayz that’s all ,but yah she is ma favorite
especially her song
of watu na viatu hadi kibua anajua kuwa this girl is ma girl
ausio Kibua