Wateule Back Again!


Kundi la rap nchini,lililokuwa linajulikana kama ‘Wateule’ waliowahi kutamba na wimbo wa ‘Watu Kibao’ lilikuwa kimya kipindi cha kati na Mchizi Mox,mmoja wa rapa anayeunda kundi hilo kujiengua,amerudi tena kundini na inasemekana kwa pamoja,Jay Moe,Jafaray,Kevin pamoja na Solo Thang aliyeko mbelembele kutoka na albam ya ‘Wateule’ itakayokuwa mtaani hivi karibuni.
Baadhi ya nyimbo zilizopo tayari ni pamoja na ‘Music Saved My Life’ waliomshirikisha Nakaaya,na nyingine ambazo bado zinafanyiwa maujanja!Kaa tayari…wamerudi tenaaaaaaaaa

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Marlaw kuachia albam ya pili mwezi ujao.
  2. "Hazibanwi Pua"
  3. FERUZI ajipanga na 09
  4. Mwaka wa Wateule huu!
  5. P-Squere na muonekano mpya.

About the Author