Archive for November 13th, 2008

  • Msafiri Diof ndani ya Segerea

    Msafiri Diof ndani ya Segerea

    Msafiri Diof,rapa mashuhuri wa bendi ya Afrikan Stars,Twanga Pepeta kwa sasa nasemea ndani ya gereza la Segerea baada ya kukutwa na kosa la kumpora mtu huko mitaa ya Magomeni yeye na wenzake wawili.Diof ambaye yupo ndani tokea mwezi uliopita tarehe 14 anatarajia kusomewa mashtaka kesho...

    Full Story

  • De Plaizir na Lady Jay D wafanya mambo!

    De Plaizir na Lady Jay D wafanya mambo!

    Mwanamuziki wa miondoko ya rhumba kutoka nchini Uingereza,Blanchard De Plaizir aachia wimbo mpya unaoitwa ‘KENDE KAKA’ aliomshirikisha mwanadada nyota kutoka nchini Lady Jay D.Wimbo huu umeimbwa kwa lugha mbili ambazo ni lugha yetu ya kiswahili na kikongo ambao umebeba meseji kali ya mtu aliyechoshwa na...

    Full Story

  • TID apewa siku kumi tu.

    TID apewa siku kumi tu.

    Mwanamuziki nyota wa nchini,Top In Dar(TID)apewa siku kumi tu kukamilisha maelezo yake kuhusu kukata rufaa.Maelezo hayo yatatolewa na wakili wake na baada ya hapo ataweza kusikilizwa.

    Full Story

  • Matonya ndani ya Oslo

    Matonya ndani ya Oslo

    BIG TIME PROMOTIONS INAWALETEA MAMBO YA KUENDELEZA LIBENEKE LA BONGO FLAVA UGHAIBUNI, MSANII WA BONGO FLAVA” MATONYA” ANATARAJIA KUWAPAGAISHA WADAU WA MJINI OSLO NORWAY, KTK MAMBO YA KUSHEREHEKEA OBAMA NA KUKANDAMIZA BONGO FLAVA. WADAU WA BERLIN,HOLLAND NA FRANKFURT NAO WAKAE MKAO WA KULA KWANI NAKO...

    Full Story