Wazee wa Ngwasuma,walikuwa wasafi na waliweza kuwateka watazamaji kwa shoo yao nzuri

Nakaaya Sumari nae aliweza kupanda jukwaani na kurekisha na Mr.Politician.

Kat Deluna,aliperform show nzuri sana,kwakweli ameweza kuweka historia ya mwaka 2008,Jirambe na Fiesta
B
Sasa anataka umuite The Big Blue,simsifii ila alipendeza sana mwanamuziki huyu ambaye alianza gemu tokea utotoni.Alipagawisha zaidi na wimbo wake mpya wa ‘Tabasamu’

Related Posts

  1. Ngwear afunika Fiesta Tanga!
  2. Kat Deluna kujiramba ndani ya Fiesta Dar!
  3. Binamu aachia ‘Msiache Kuongea’ redioni na video mzigoni!
  4. Rihana,Michael Jackson wizi mtupu!
  5. Resi za Fiesta kama Hivi mwaka huu….