chukua chako mapema


mwanadada mwenye kiuno kisicho mfupa rehema chalamila maarufu kama ray c yuko mbioni kufunga ndoa na mwana hip hop kutoka naco2naco lord eyez ndoa hiyo imepangwa kufanyika hapo december,ndoa zinaongezeka kwa upande wa wasaniii baada ya nature,inspector wengi wamo njiani kufanya ivyo pia temba kutoka kiumeni anatarajiwa kuoa mwezi december kama ilivyo kwa ray c

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Mheshimiwa Temba kuvuta Jiko!
  2. juma nature apatwa na kigugumizi kuhusu inspector
  3. Shutuma za Juma Nature
  4. Baba Levo nje ya TMK Halisi..
  5. Sipendi kuzushiwa!

About the Author