

Wizzle ambaye amepata mtoto mwingine jumapili iliyopita,hakutaka kumuweka wazi mama wa mtoto huyo lakini ukweli umeweza kujulikana,huyo hapo ni mwanamke aliyemzalia Wayne mtoto,kwa jina ni Sarah B ambaye ana asili ya Kivetenamu,kwa kumbukumbu za nyuma tu ni kwamba,Wayne alikuwa ana date na Paula Deanda lakini walibwagana na ndipo alipoamua kuvuuta kitu all the way Vietenam!Hongera kwa Wayne kwa kuitwa baba kwa mara nyingine tena.
Related posts:
