About Angalia Bongo
Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with what is on my mind..İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian... Love friends and believe to DİE with something as was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me.Anyting contact;angaliabongo@yahoo.com Thanks for passing by xoxox..... Read More
Sikiliza BongoFlava
Blogroll
- Africa Bambataa
- Afrojam
- Anh Vu
- Blazing Zone
- Bongo Celebrity
- Bongo Star Link
- Candy World
- Changamoto
- Dee
- Dina Marios
- Fashion Junkii
- Jamii Forums
- Jiachie
- John Kitime
- Karibu Nyasa
- Kisima Cha Fikra
- Kulikoni Ughaibuni
- Ladies Stuff
- Loveness Luv
- Maisha na Mafanikio
- Matukio UK
- Mtaa Kwa Mtaa
- Sauti za Bongo
- Shamim
- Sheria na Mavazi
- Simon
- Subi
- Swagga Bovu
- Total Knockout
- U-TURN
- Viva Afrika
Archive for October 22nd, 2008
-
gerrald na uncle ndani ya london
Posted on October 22, 2008 | 1 Commentgerrald kazinja akiwa na uncle wake wakila bata ndani ya london baada ya kuchomwa sana na jua la bongo,kaka karibu ulimwenguni -
shaban othman aka suka aki show luv na zamaradi
Posted on October 22, 2008 | No Commentsmsanii wa bongo flavour suka ambaye aliwai kutoa song linalokwenda kwa jina la mipasuo akitumia beat ya mwana fa yuko kimya sana kiasi cha mashabiki wake kuulizia vipi atarudi tena au ndio game la moto?kwa taarifa ambazo ninazo ni kuwa suka ana mawe kadhaa ambayo... -
msaniii bora wa kike wa maigizo bongo
Posted on October 22, 2008 | No Commentsmsanii riyama ameonekana kuwa msanii bora wa kike kwa siku za usoni baada ya kufanya vizuri katika uigizaji wa filamu bongo kwa kuwa na mvuto na kila kitu msanii huyo malisema atazidi kukomaa adi kieleweke kwani sanaa ndio maisha yake na si kingine -
chege chigunda na manyema family kwa mj
Posted on October 22, 2008 | No Commentssaid juma au chege mtoto wa mama said kutoka kundi la wanaume tmk linaloongozwa na amani temba au mheshmiwa temba toka kiumeni ameamua kufanya kazi na wasanii wa kundi la manyema family ambako chege alitokea kabla ya kwenda kiumeni,wameingia katika studio za mj na kufanya... -
Stara back again collabo na chi,chi,chid wa la familia
Posted on October 22, 2008 | No Commentsmsaniii wa kike stara thomas mwana zouk maarufu nchini tanzania ameamua kurudi tena na kuamua kufanya kazi na chidy benz wa la familiah stara aliseama ujio wake uko sawa na kuwakandamiza wapinzani na wasanii wasio halisi katika game kwani mkongwe ni mkongwe na hakuna wa... -
nafanya music kama talent na sio kazi
Posted on October 22, 2008 | No Commentsmsanii haji noorah maarufu kama noorah amesema atazidi kujikita kimasomo zaidi baada ya kugundua kuwa mziki haulipi kivile kwani kazi anazofanya ni tofauti na malipo ambayo anapata so ameamua kusoma zaidi kama afanyavyo mdogo wake ibrah noorah ambaye yuko st joseph college uko mbezi dar...
