nakaaya sumari aomba kura zenu


yule msanii wa kike kutoka tzee nakaaya sumari anaomba kura zenu watanzania ili awze kuibuka kidedea katika tuzo za kisima zifanyikazo huko nchini kenya,dada huyo yuo katika category na nyimbo bora ya mwaka kutoka Tanzania,mr politician si unaikumbuka sasa unasubiri nini piga kura tumtoe dada

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Google Yampotezea Mtu Kazi,Aomba Ushauri.
  2. Casim ndani ya Kisima Awards
  3. Nakaaya vipi?!
  4. Nakaaya ndani ya CNN leo!
  5. Tuzo za Vinara 2009

About the Author