Archive for October 15th, 2008

  • Baba na Mwana watumbuiza Gerezani..

    Baba na Mwana watumbuiza Gerezani..

    Familia ya mwanamuziki Nguza Viking iliyofungwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka,ilipewa ruhusa ya kutumbuiza jana kwenye siku ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mlm Julius Nyerere.Nguza Viking pamoja na mtoto wake,Papii Kocha,walitumbuiza takribani nyimbo tatu huku wakiwapagawisha wafungwa wenzao.Hali hii inaonekana...

    Full Story