Sauti za Busara Mwakani


Tarehe rasmi za lini tamasha la sauti ya Busara imetangazwa rasmi na inatarajia kufanyika kuanzia tarehe 12 mpaka tarehe 17 mwezi wa pili huko Zanzibarhe.
Tamasha hilo litakuwa bure kwa mtu yeyote atakayejisikia kuhudhuria kuanzia asubuhi mapka jioni.
Mbali na hayo wanasanaa mia nne wanatarajia kushiriki kwenye tamasha huilo na wanamuziki arobaini wanaochipukia kutoka nchini.
Tamasha hili ni la sita kufanyika nchini.

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. De Plaizir ndani ya Bongo!
  2. Odemba kwenda Miss Earth!
  3. Kat Deluna kujiramba ndani ya Fiesta Dar!
  4. Red Carpet Fund raising Appearance.
  5. Bongo 5 Media Presents Miss Kigamboni

About the Author